Ninawasaidia wamiliki wa biashara na wataalamu kujenga brand kubwa, content inayouza, na biashara ya mtindo wa maisha.
Mwl Wa Wataalam ni jina la brand ya Dr. Revocatus Kaombwe Millambo — mtaalamu wa mawasiliano, mhadhiri, na mkufunzi wa personal branding kwa wajasiriamali na wataalamu nchini Tanzania.
Kazi yake inaunganisha sayansi ya mawasiliano, brand personification, na mifumo ya mauzo ya mtandaoni — ili watu wenye ujuzi halisi waweze kuonekana, kuaminika, na kuuza.
Dkt. Millambo amefanya utafiti wa brand anthropomorphism kwenye brand za Tanzania — na anatumia maarifa hayo kufundisha jinsi brand zinavyoweza kuwa na sauti ya binadamu na kuaminika na soko.
The Super Personal Brand — mentorship ya siku 90 kwa biashara zinazotaka kukua kwa kasi.
2026 IN 90 Days — challenge ya malengo na utambulisho mpya.
KAYA Builders — jumuiya ya kujifunza na kukua pamoja.
Wasiliana WhatsApp ›