KAYA si jumuiya tu — ni mfumo wa maisha. Shule ya maisha kwa lengo, brand, uhusiano, mapato, na maisha kamili.
Holistic life school iliyoundwa na Mwl Wa Wataalam. Hapa wajenzi wanajifunza, wanaunganishwa, na wanakua pamoja — si kwa content tu, bali kwa mfumo wa maisha.
Washiriki wa 2026 IN 90 Days na programu nyingine hupata access ya KAYA kama sehemu ya safari yao.
Jiunge KAYA Builders › Uliza WhatsApp ›