Badilisha utambulisho wako, weka ramani ya siku 90, na uanze kutekeleza — badala ya kusubiri Januari kila mwaka.
Mfumo wa hatua 3 unaokusaidia kubadilika kuwa mtu mpya na kufikia malengo makubwa ndani ya muda mfupi. Si kuandika malengo tu — ni kujibadili kuwa mtu sahihi kuyafikia.
56849059LIPA SWAHILI QUESTHakikisho la matokeo: Ndani ya siku 21 ukiona haijakufaa, mbinu na mkakati huboreshwa — ni mpaka utoboe. Coaching inafanyika kupitia community ya KAYA (Skool).