Kukuza biashara 3X kupitia kujenga brand inayoonekana, content inayouza, na mfumo wa mauzo unaofanya kazi kila wiki.
Program maalum ya siku 90 — nafasi 3 tu kila mwezi. Mix ya 1-on-1 sessions, mkakati maalum, playbooks na mwongozo wa karibu.
✅ Una biashara tayari na unataka kuikuza kwa kasi
✅ Una ujuzi wa kweli na unaweza kubadilisha maisha ya watu
✅ Unafuata maelekezo na unatekeleza mpango wako
✅ Uko tayari kuonekana, kusikiwa, na kuchaguliwa
❌ Hujaanza na bado hujawahi kuuza chochote
❌ Unaamini tu kupost bila mkakati
❌ Unatafuta shortcut bila kufanya kazi halisi
Baada ya ku-apply, application inapitiwa ndani ya saa 72. Kama haitakubaliwa, pesa zinarudishwa na unapata ushauri wa hatua inayofuata.